Halali inayochukiwa zaidi na Allaah

Swali: Ni upi usahihi wa Hadiyth isemayo:

”Halali inayochukiwa zaidi na Allaah ni talaka.”

Jibu: Haina neno. Ni nzuri. Imepokelewa kwa cheni ya wapokezi iliyoungana, kama maneno ya Swahabah na kwa cheni ya wapokezi iliyoungana Swahiyh kutoka kwa Ibn ´Umar.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1308/الحكم-على-حديث-ابغض-الحلال-الى-الله-الطلاق
  • Imechapishwa: 20/06/2026