Swali: Imamu akienda katika Rukuu´ kabla ya maamuma kumaliza kusoma al-Faatihah. Je, amfuate katika Rukuu´ au aikamilishe al-Faatihah?
Jibu: Ikiwa Rak´ah itampita, basi amfuate katika Rukuu´ hata kama hajamaliza al-Faatihah. Kisomo cha imamu wake cha al-Faatihah kinatosha.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (97) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igatha26-02-1440-h.mp3
- Imechapishwa: 12/05/2019
Swali: Imamu akienda katika Rukuu´ kabla ya maamuma kumaliza kusoma al-Faatihah. Je, amfuate katika Rukuu´ au aikamilishe al-Faatihah?
Jibu: Ikiwa Rak´ah itampita, basi amfuate katika Rukuu´ hata kama hajamaliza al-Faatihah. Kisomo cha imamu wake cha al-Faatihah kinatosha.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (97) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igatha26-02-1440-h.mp3
Imechapishwa: 12/05/2019
https://firqatunnajia.com/hakuwahi-kusoma-al-faatihah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)