Swali: Je, kumethibiti kitu kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) juu ya fadhila za usiku tarehe 15 Sha´baan?
Jibu: Hapana. Usiku wa tarehe 15 Sha´baan hakukuthibiti Hadiyth hata moja. Ni kama masiku mengine.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqo-jum_ah-15-08-1435-01.mp3
- Imechapishwa: 01/05/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Ibn ´Uthaymiyn kuhusu swawm katika Sha´baan
Swali: Je, Sha´baan ufanywe ni mwezi maalum kwa ajili ya funga tofauti na miezi mingine? Jibu: Ndio. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akikithirisha kufunga ndani yake kiasi cha kwamba alikuwa akifunga siku nyingi isipokuwa chache tu. Kujengea juu ya hili mtu anatakiwa kufunga sana katika mwezi wa Sha´baan…
In "Swawm katika Sha´baan"
al-Fawzaan kuhusu kufunga mchana au usiku wa tarehe 15 Sha´baan
Swali: Je, kumepokelewa Hadiyth kuhusu nusu ya Sha´baan? Je, imepokelewa ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alifunga mwezi mzima? Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akifunga siku nyingi za Sha´baan. Bi maana alifunga masiku yake mengi. Kuhusu kukhusisha usiku au mchana wa nusu ya Sha´baan ni…
In "Swawm katika Sha´baan"
Ibn Baaz kufunga baada ya tarehe 15 Sha´baan
Swali: Je, kufunga baada ya tarehe 15 Sha´baan ni haramu au ni jambo limechukziwa tu? Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam): “Sha´baan itapofikia nusu yake basi msifunge.” Ni Hadiyth Swahiyh. Yule ambaye hakuanza kufunga mwanzoni mwa mwezi basi asifunge baada ya kufika nusu yake kutokana na Hadiyth hii Swahiyh.…
In "Swawm katika Sha´baan"