Hakuna Hadiyth hata moja juu ya fadhila za nifsu Sha´baan

Swali: Je, kumethibiti kitu kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) juu ya fadhila za usiku tarehe 15 Sha´baan?

Jibu: Hapana. Usiku wa tarehe 15 Sha´baan hakukuthibiti Hadiyth hata moja. Ni kama masiku mengine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqo-jum_ah-15-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 01/05/2015