Swali: Yapi maoni yako kuhusu kitabu “Laa Tahzan” cha ´Aa´idh al-Qarniy?
Jibu: Hichi haitakikani kukisoma.
- Muhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alnajmi.net/voices.php?action=show&id=209
- Imechapishwa: 20/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Achana na Hizbiyyuun
Swali: Kuna kitabu cha Shaykh Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy na cha Shaykh Zayd al-Madkhaliy. Kitabu cha Shaykh Zayd kinaitwa "al-Irhaab" na cha Shaykh Ahmad an-Najmiy kinaitwa "al-Mawrid al-´Adhb". Humo mmetajwa majina ya baadhi ya walinganizi wa leo kama mfano wa Muhammad al-´Ariyfiy, ´Aa´idh al-Qarniy, Salmaan al-´Awdah na Naaswir al-´Umar. Nimetawanya…
In "al-Fawzaan akitahadharisha watu kwa majina"
Da´wah ya az-Zindaaniy katika Tawhiyd inahusiana tuu na Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah
Swali: Ni yapi maoni yako kuhusu kitabu cha Tawhiyd cha az-Zindaaniy na unapendekeza mtu kukisoma? Jibu: Mtu huyu alinipa kitabu hichi nilipokuwa Makkah na wakati huyo nilikuwa nasoma hapa na akaniuliza maoni yangu juu ya kitabu hichi, nikamwambia amechothibitisha ni Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah tu. Iko wapi Tawhiyd-ul-´Ibaadah na Tawhiyd-ul-Asmaa´ was-Swifaat? Akanyamaza. Halafu…
In "az-Zindaaniy ´Abdul-Majiyd"
Shaykh al-´Adaniy kuhusu ad-Duwaysh, al-Qarniy, al-´Awdah na ash-Shanqiytwiy
Swali: Vipi hali ya watu hawa na je inatakiwa kusikiliza kanda zao; Ibraahiym ad-Duwaysh, ´Aaidh al-Qarniy, Salmaan al-´Awdah na Muhammad al-Mukhtaar ash-Shanqiytwiy? Jibu: Nijualo kuhusu watu hawa ni kwamba hawafuati njia yetu na Da´wah yetu. Ibraahiym ad-Duwaysh, ´Aaidh al-Qarniy, Salmaan al-´Awdah na Muhammad al-Mukhtaar ash-Shanqiytwiy ni katika vigogo wa al-Ikhwaan al-Muslimuun.…
In "al-Qarniy ´Aaidh"