Kujizoweza kuswali na viatu ikiwa una kitu katika nafsi

Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali na viatu? Je ni wajibu au imependekezwa?

Jibu: Kuswali na viatu inajuzu na imependekezwa wakati fulani. Nafsi yako ikiwa na kitu [katika mashaka na wasiwasi] ni wajibu kwako kuswali na viatu mpaka nafsi yako ikinaike na hukumu hii.

Check Also

Du´aa za Qur-aan kwenye Sujuud

Swali: Je, inajuzu kuomba kwenye Sujuud kwa du´aa za Qur-aan? Kwa mfano maneno: قَالَا رَبَّنَا …