Swali: Ni kitu kinachoingia katika kanuni hii kusikiliza kanda ilio na visa vya mawaidha na mambo yenye kwenda kinyume na watu wakaongoka kwa sababu ya kuisikiliza. Je, kanda kama hii ikemewe?
Jibu: Hili halijuzu. Kanda inatakiwa iwe imesafishwa na uongo, shirki na Bid´ah. Kanda inatakiwa iwe ni yenye kuafikiana na maneno ya Allaah na Mtume Wake na maneno ya wanachuoni wahakiki. Ama kuhusu kanda iliochanganya kati ya haki na batili haijuzu kuisikiliza.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (32) http://alfawzan.af.org.sa/node/2144
- Imechapishwa: 13/07/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)