Swali: Ni ipi hukumu ya kuleta Basmalah mwanzoni wa Suurat-ut-Tawbah?
Jibu: Haijuzu. Haijuzu kuleta Basmalah mwanzoni wa Suurat-ut-Tawbah. Kwa kuwa haikuteremshwa kabla yake. Hivyo mtu asisemi “Bismillaahi Rahmaani Rahiym” mwanzoni wa Suurat-ut-Tawbah. Haikuandikwa kwenye misahafu na [Basmalah] haikuandikwa kabla yake kama zilivyo Suurah zingine. Atakuwa ni mwenye kuzidisha katika Suurat-ut-Tawbah. Akiileta kabla ya Suurah at-Tawbah atahesabika amezidisha.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (63) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-03-25.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kuleta Basmalah mwanzoni wa Suurat-ut-Tawbah?
Jibu: Haijuzu. Haijuzu kuleta Basmalah mwanzoni wa Suurat-ut-Tawbah. Kwa kuwa haikuteremshwa kabla yake. Hivyo mtu asisemi “Bismillaahi Rahmaani Rahiym” mwanzoni wa Suurat-ut-Tawbah. Haikuandikwa kwenye misahafu na [Basmalah] haikuandikwa kabla yake kama zilivyo Suurah zingine. Atakuwa ni mwenye kuzidisha katika Suurat-ut-Tawbah. Akiileta kabla ya Suurah at-Tawbah atahesabika amezidisha.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (63) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-03-25.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/haijuzu-kuleta-basmalah-kabla-ya-kusoma-suurat-ut-tawbah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)