Swali: Kuhifadhi picha za viumbe wenye roho na picha zilizopigwa kwa njia ya simu kwenye simu hiyo hiyo kunaingia katika uharamu?
Jibu: Ndio, kunaingia katika uharamu. Kila kinachohifadhi picha na kukibakiza basi ni haramu; sawa ikiwa ni kwa njia ya simu, karatasi au ukuta. Vyote hivyo ni picha za haramu. Amelaaniwa mwenye kuyafanya.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2138
- Imechapishwa: 12/07/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket