Swali: Je, inajuzu kufanya uasi kwa mtawala mtenda dhambi ambaye ameahidiwa usikivu na utiifu ikiwa kuna uwezekano wa kujinasua naye pasina kumwaga damu?

Jibu: Haijuzu kufanya uasi kwa mtawala, hata kama atakuwa mtenda dhambi. Haitakikani kusema kuwa yatapitika pasi na kumwagika damu. Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ameidhinisha tu kufanya uasi kwa mtawala ambaye amefanya kufuru ya wazi kabisa.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kanda ”al-Hamalaat al-I´laaniyyah dhiwdd Hukkaam wa ´Ulamaa’ Bilaad-il-Haramayn”
  • Imechapishwa: 05/09/2020