Swali: Uhusiano wa kibalozi kati ya watawala wa Kiislamu na wasiokuwa waislamu unapelekea katika kuwapenda wasiokuwa waislamu?
Jibu: Hapana, sivyo. Kunaweza kupatikana mawasiliano kati yao kwa ajili ya maslahi yaliyopo kati ya pande mbili. Hili halipelekei katika mapenzi. Hili linaweza kuwepo bila ya mapenzi.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kanda ”al-Hamalaat al-I´laaniyyah dhiwdd Hukkaam wa ´Ulamaa’ Bilaad-il-Haramayn”
- Imechapishwa: 05/09/2020
Swali: Uhusiano wa kibalozi kati ya watawala wa Kiislamu na wasiokuwa waislamu unapelekea katika kuwapenda wasiokuwa waislamu?
Jibu: Hapana, sivyo. Kunaweza kupatikana mawasiliano kati yao kwa ajili ya maslahi yaliyopo kati ya pande mbili. Hili halipelekei katika mapenzi. Hili linaweza kuwepo bila ya mapenzi.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kanda ”al-Hamalaat al-I´laaniyyah dhiwdd Hukkaam wa ´Ulamaa’ Bilaad-il-Haramayn”
Imechapishwa: 05/09/2020
https://firqatunnajia.com/mahusiano-ya-kidiplomasia-na-makafiri-hayahitajii-mapenzi/