Swali: Ni ipi hukumu ya kuswaki wakati wa Khutbah ya ijumaa?
Jibu: Hapana, haijuzu. Haijuzu kufanya harakati wakati wa Khutbah ya ijumaa, ni mamoja ikiwa ni kwa kuswaki wala kitu kingine.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (28) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-5-9.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kuswaki wakati wa Khutbah ya ijumaa?
Jibu: Hapana, haijuzu. Haijuzu kufanya harakati wakati wa Khutbah ya ijumaa, ni mamoja ikiwa ni kwa kuswaki wala kitu kingine.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (28) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-5-9.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/haijuzu-kufanya-harakati-wakati-wa-khutbah-ya-ijumaa/