Swali: Je, Hadiyth inayosema:
“Allaah amewalaani wanawake wanaoyatembelea sana makaburi.”
ni Swahiyh?
Jibu: Kumepokelewa tamlo linalosema:
“Allaah amewalaani wanawake wanaoyatembelea sana makaburi.”
na pia imepokelewa:
“Allaah amewalaani wanawake wanaoyatembelea makaburi.”
Yote mawili yamekatazwa, si kuyatembelea sana wala kuyatembelea kidogo. Haifai kwa wanawake kuyatembelea makaburi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23029/هل-صيغة-زوارات-القبور-تعني-الكثرة-فقط
- Imechapishwa: 14/10/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)