Swali: Je, inajuzu kwa mtu kuuliza kitu chake kilichopotea msikitini akamuuliza imamu anapokuwa yuko katika Mihraab au aliye pembezoni mwake alipokaa au aache…
Jibu: Imamu, muadhini au mmoja katika waswalaji atapotoka aende kumuuliza nje ya msikiti. Haijuzu kuuliza ilihali yuko ndani ya msikiti, sawa ikiwa atauliza hilo hadharani au akamuuliza mtu binafsi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (49) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-6-3.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)