Haifai kukusanya wala kufupisha kabla ya kuacha mji wake

Swali: Je, inafaa kwa msafiri kukusanya swalah kabla hajatoka ndani ya mji wake?

Jibu: Haifai kwake kukusanya mpaka atoke ndani ya mji wake. Hafai kwake kufupisha wala kukusanya isipokuwa baada ya kuacha mji wake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25151/هل-للمسافر-ان-يجمع-في-بلده-قبل-الخروج
  • Imechapishwa: 08/02/2025