Swali: Je, inafaa kupambana na panya kwa kutumia gundi kisha wanabaki na kufilia sehemu hiyo?

Jibu: Haijuzu kufanya hivo. Huku ni kutesa. Haijuzu kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
  • Imechapishwa: 08/12/2023