Swali: Nikijiunga na swalah baada ya kupitwa na Rak´ah isiyopungua moja nalazimika kuleta mkao wa Tawarruk katika ile Rak´ah ya mwisho ilihali sio Rak´ah ya mwisho kwa nisba yangu?
Jibu: Ndio, amfuate imamu.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 150
- Imechapishwa: 03/07/2022
Swali: Nikijiunga na swalah baada ya kupitwa na Rak´ah isiyopungua moja nalazimika kuleta mkao wa Tawarruk katika ile Rak´ah ya mwisho ilihali sio Rak´ah ya mwisho kwa nisba yangu?
Jibu: Ndio, amfuate imamu.
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 150
Imechapishwa: 03/07/2022
https://firqatunnajia.com/fanya-tawarruk-kama-imamu-wako/