Swali: Ni ipi hukumu ya kukusanya swalah kwa mfano Dhuhr na ´Aswr kwa sababu ya maumivu makali?

Jibu: Ikiwa kuswali kila swalah ya faradhi kwa wakati wake kunakupa usumbufu na kwamba kukusanya kati ya Dhuhr na ´Aswr, Maghrib na ´Ishaa kunakupumzisha kutokamana na maumivu hayo, basi hakuna kizuizi.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/حكم-جمع-الصلاتين-بعد-الإجهاض-بسبب-الشعور-بآلام-شديدة
  • Imechapishwa: 12/06/2022