Kumfuata imamu asiyeweza kufanya Tawarruk

Swali: Je, ikiwa imamu hawezi kufanya Tawarruk katika Rak´ah ya mwisho kutokana na maradhi tumfate katika jambo hilo?

Jibu: Ndio.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 148
  • Imechapishwa: 02/07/2022