Epuka ushindi unaotokana na kamari

Swali: Watu wawili waliweka dau juu ya mwaliko. Mwaliko ulikuwa unahusu kamari. Nimealikwa katika chakula hicho. Je, inafaa kwangu kukila?

Jibu: Ambacho mtu ameshinda kwa njia ya kamari usihudhurie na wala usikile.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
  • Imechapishwa: 18/01/2024