Swali: Vipi ikiwa mtu anatukaniwa wazazi wake kwa sababu ya kuamrisha mema na kukataza maovu?
Jibu: Haidhuru. Aamrishe mema na kukataza maovu hata kama atatukanywa. Dhambi zinawapa wao.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24139/حكم-من-يودي-امره-بالمعروف-لسب-والديه
- Imechapishwa: 06/09/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)