Elimu ya ´Abdul-Hamiyd Kishk imejaa ukhurafi na Bid´ah

Rafiki yangu akawa amenambia… kwa kuwa usiku mmoja alisikia darsa ya Shaykh al-Kaftaaru. Anaelezea visa. Ni “Qasswasuun” mpiga visa mkubwa. Kwa kiasi kikubwa ananikumbusha mtu mmoja – pamoja na kuwa kuna tofauti zingine baina yao – na baina ya Shaykh mmoja wa Misri Kishk. Kishk ni msimulizi mmoja wa khatari sana. Lakini kwa masikitiko makubwa ni kwamba elimu yake imejaa ukhurafi, Hadiyth dhaifu, Maudhuu´ na mfano wa hayo. Huyu (al-Kaftaaru), ni hali kadhalika, naye elimu yake imepinda katika Sunnah kabisa. Na ni Suufiy na ni Shaykh wa Twariyqah na hilo latosha.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.youtube.com/watch?v=4Nie7zyXAww
  • Imechapishwa: 28/07/2020