Swali: Ni siku ngapi za eda kwa mwenye Talaka Baain atampomtaliki mume wake naye ni ghaibu kwake? Na je, kuna tofauti kati ya Talaka ya aliye ghaibu na aliyepo?
Jibu: Hazitofautiani. Eda yake inaanza tokea siku ile alimtaliki hata kama ikiwa mke hakujua naye mume hayupo. Hata kama itakuwa hakujua ila baada ya kwisho kwa eda, atakuwa amekwishatoka katika eda.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/10001
- Imechapishwa: 05/03/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related

Mume kuoa mwanamke mwingine ndani ya eda ya mke wake
https://www.youtube.com/watch?v=uVIX_me1aRE Swali: Mtu kama alikuwa na mke akamtaliki. Je, anaweza kumuoa dada yake ndani ya eda yake (huyo mke wake)? Na akifa anaweza kuoa katika hali hii? Jibu: Akimtaliki mke wake, haijuzu kwake kumuoa dada yake wala wanawake wengine isipokuwa baada ya eda, baada ya kwisha kwa eda. Ikiwa ni Talaka…
In "Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz"
Mume amepotea na hajulikani alipo
Swali: Kuna mwanaume alimuoa mwanamke na wakazaa naye watoto wawili. Kisha akamwacha na kusafiri kwenda katika mji mwingine. Ametoa wito katika mji wake lakini hakuna mwenye kujua kitu. Inajuzu kwa mwanamke kuolewa na mwengine? Ni muda kiasi gani anatakiwa mwanaume kuwa mbali mpaka mwanamke aweze kuolewa na mwengine? Jibu: Anazingatiwa…
In "Eda"

Talaka rejea ndani ya eda ni wajibu kuomba idhini kabla ya kutoka nje
https://www.youtube.com/watch?v=qv7d9KyFioE Swali: Ikiwa ni Talaka rejea, je ni lazima kwa mke kumuomba idhini mume wake wakati anapotaka kutoka katika haja zake au na familia yake? Na kama hakufanya hivyo, ni ipi hukumu? Jibu: Ndio. Maadamu yuko ndani ya eda na ni Talaka rejea, bado ni mume wake. Asitoke isipokuwa kwa…
In "´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan"