Swali: Ni ipi hukumu ya kukhitimisha vikao vya kielimu na mihadhara kwa du´aa kwa njia ya kwamba Shaykh anaomba du´aa na wasikilizaji wakaitikia “Aamiyn”?
Jibu: Inafaa kufanya hivo wakati fulani. Kusiwekwe kikomo cha du´aa maalum.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 281
- Imechapishwa: 04/07/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket