Du´aa za pamoja baada ya kumaliza darsa

Swali: Ni ipi hukumu ya kukhitimisha vikao vya kielimu na mihadhara kwa du´aa kwa njia ya kwamba Shaykh anaomba du´aa na wasikilizaji wakaitikia “Aamiyn”?

Jibu: Inafaa kufanya hivo wakati fulani. Kusiwekwe kikomo cha du´aa maalum.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 281
  • Imechapishwa: 04/07/2022