Swali: Baadhi yao wanaomba kwa kusema:
اللهم اجعلنا من الباء بركة، ومن الراء رحمة
“Ee Allaah! Tujaalie katika B baraka na katika R rehema.”
Wanaomba kwa yale yanayoafikiana na ile herufi ya mwanzo.
Jibu: Hapana, haina msingi. Sijui msingi wake. Aombe du´aa zingine mbali na kusema hivi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23056/حكم-الدعاء-بما-يوافق-بدايات-الحروف
- Imechapishwa: 26/10/2023