Picha za viumbe wenye roho zisokuwa na neno

Swali: Ni lini picha inazingatiwa kuwa ni yenye kutwezwa?

Jibu: Pale inapokuwa katika godoro au mto. Hiyo ndio picha yenye kudharauliwa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23050/متى-تعتبر-الصورة-ممتهنة
  • Imechapishwa: 26/10/2023