Du´aa ya mwanamke wakati wa kuzaa ni yenye kujibiwa

Swali: Twatarajia utuwekee wazi ujira wa mwanamke mwenye kuzaa na Du´aa yake wakati wa kuzaa ni yenye kujibiwa?

Jibu: Bila ya shaka Du´aa ya mwenye kudhikika ni yenye kujibiwa:

أَمَّن يُجِيبُ الْمُضْطَرَّ إِذَا دَعَاهُ

“Au Yule Anayemuitika aliyedhikika anapomwomba.” (27:62)

Du´aa ya mwanamke pia wakati wa kuzaa kwake ni Du´aa ya mwenye kudhikika, ni mwenye kudhikika wakati wa kuzaa. Ni mwenye kujibiwa kwa idhini ya Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqo_%20maftuh-20-07-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 03/05/2015