Swali: Ni ipi hukumu ya Uislamu juu ya mayahudi na manaswara miongoni mwa wale waliofikiwa na ujumbe wa Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na wakaujua lakini hawakumfuata na badala yake wakafuata dini zao?
Jibu: Wanahesabika ni makafiri na wanataamiliwa matangamano ya makafiri katika hukumu za duniani na Aakhirah. Haitowafaa kitu kushikamana na dini yao ikiwa wanakanusha yale aliyokuja nayo Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (3/298)
- Imechapishwa: 23/08/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya Uislamu juu ya mayahudi na manaswara miongoni mwa wale waliofikiwa na ujumbe wa Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na wakaujua lakini hawakumfuata na badala yake wakafuata dini zao?
Jibu: Wanahesabika ni makafiri na wanataamiliwa matangamano ya makafiri katika hukumu za duniani na Aakhirah. Haitowafaa kitu kushikamana na dini yao ikiwa wanakanusha yale aliyokuja nayo Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (3/298)
Imechapishwa: 23/08/2020
https://firqatunnajia.com/dini-ya-mayahudi-na-manaswara-haitowanufaisha-kitu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket