Swali: Ni ipi hukumu mwanamke kuwafunza wanawake msikitini kwa njia ya kuwapa mawaidha?

Jibu: Hapana, isiwe misikitini. Hata swalah mwanamke anatakiwa kuswali nyumbani kwake. Awafunze majumbani mwao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14041434.mp3
  • Imechapishwa: 14/04/2023