Swali: Mke akimuahidi mume wake na akaweka nadhiri kuwa hatorudi kwenda kwa familia yake bila idhini ya mume wake lakini akafanya hivo. Je, mwanamke huyu anastahiki kupewa matumizi?
Jibu: Ikiwa anamuasi na anatoka bila idhini yake, huyu ni mwanamke muasi. Mwanamke muasi hana haki ya kupewa matumizi. Huyu ni mwanamke muasi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14041434.mp3
- Imechapishwa: 14/04/2023