Swali: Je, damu ya wanyama wanaoliwa nyama, kama kondoo na ng´ombe, ni najisi?
Jibu: Damu ya wanyama wanaoliwa nyama, kama kondoo na ng´ombe, ikiwa ni damu iliyomwagika, basi ni najisi. Lakini damu iliyobaki katika mishipa ya damu ya mnyama aliyechinjwa na ndani ya nyama yake, basi ni twahara.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/375)
- Imechapishwa: 26/11/2026
Swali: Je, damu ya wanyama wanaoliwa nyama, kama kondoo na ng´ombe, ni najisi?
Jibu: Damu ya wanyama wanaoliwa nyama, kama kondoo na ng´ombe, ikiwa ni damu iliyomwagika, basi ni najisi. Lakini damu iliyobaki katika mishipa ya damu ya mnyama aliyechinjwa na ndani ya nyama yake, basi ni twahara.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/375)
Imechapishwa: 26/11/2026
https://firqatunnajia.com/damu-ya-wanyama-wanaoliwa-nyama/