Swali: Ni ipi hukumu damu inapokatika katikati ya siku za hedhi kisha inaendelea kama siku moja au mbili. Je, aswali katika siku hii moja au mbili au ni katika hedhi?
Jibu: Huyu inawezekana alifanya haraka kabla ya kukatika damu. Maadamu ni kama damu ya hedhi na iko karibu nayo [katika sifa zake], hakuna baina yake na hiyo damu isipokuwa kuna mapumziko madogo tu, basi ni katika hedhi. Alifanya haraka. Anachukuliwa kuwa ni mwenye kukamilisha siku zake za hedhi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14857
- Imechapishwa: 23/09/2020
Swali: Ni ipi hukumu damu inapokatika katikati ya siku za hedhi kisha inaendelea kama siku moja au mbili. Je, aswali katika siku hii moja au mbili au ni katika hedhi?
Jibu: Huyu inawezekana alifanya haraka kabla ya kukatika damu. Maadamu ni kama damu ya hedhi na iko karibu nayo [katika sifa zake], hakuna baina yake na hiyo damu isipokuwa kuna mapumziko madogo tu, basi ni katika hedhi. Alifanya haraka. Anachukuliwa kuwa ni mwenye kukamilisha siku zake za hedhi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14857
Imechapishwa: 23/09/2020
https://firqatunnajia.com/damu-inayokatika-katika-siku-za-hedhi/