Swali: Inakuweje ikiwa mwanamke atasafika kabla ya siku arobaini lakini baada ya hapo damu ikarejea kidogo?
Jibu: Wanazuoni wametofautiana kuhusu hili. Hata hivyo sahihi ni kwamba damu hiyo inahesabika kuwa ni ya damu ya uzazi ikiwa itarejea ndani ya siku arobaini. Hivyo mwanamke hataswali wala kufunga mpaka siku arobaini zikamilike.
Swali: Kilichozidi juu ya muda?
Jibu: Ndio.
Swali: Vipi kilichozidi siku arobaini na kikakutana na ada ya mwezi?
Jibu: Itakuwa ni ada.
Swali: Itakuwa ni katika ada yake?
Jibu: Itakuwa ni katika ada ya hedhi.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24768/حكم-نفساء-طهرت-لاقل-من-اربعين-ثم-رات-دما
- Imechapishwa: 12/12/2024
Swali: Inakuweje ikiwa mwanamke atasafika kabla ya siku arobaini lakini baada ya hapo damu ikarejea kidogo?
Jibu: Wanazuoni wametofautiana kuhusu hili. Hata hivyo sahihi ni kwamba damu hiyo inahesabika kuwa ni ya damu ya uzazi ikiwa itarejea ndani ya siku arobaini. Hivyo mwanamke hataswali wala kufunga mpaka siku arobaini zikamilike.
Swali: Kilichozidi juu ya muda?
Jibu: Ndio.
Swali: Vipi kilichozidi siku arobaini na kikakutana na ada ya mwezi?
Jibu: Itakuwa ni ada.
Swali: Itakuwa ni katika ada yake?
Jibu: Itakuwa ni katika ada ya hedhi.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24768/حكم-نفساء-طهرت-لاقل-من-اربعين-ثم-رات-دما
Imechapishwa: 12/12/2024
https://firqatunnajia.com/damu-iliyorudi-baada-ya-siku-arobaini/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)