Swali: Makatazo ya kuswali kwenye vibanda vya ngamia ni pale tu ambapo ngamia wanakuwa ndani ya vibanda hivi?
Jibu: Hapana, sio maalum tu hivyo. Wakiwa ndani ya vibanda hivyo huwezi kuswali ndani yake. Vipi utaswali na wao wako ndani humo? Ni makatazo yenye kuenea, sawa wakiwemo ndani au wasiwemo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (43) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2019%20-%201%20-%201437.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket