Daima imekatazwa kuswali kwenye vibanda vya ngamia

Swali: Makatazo ya kuswali kwenye vibanda vya ngamia ni pale tu ambapo ngamia wanakuwa ndani ya vibanda hivi?

Jibu: Hapana, sio maalum tu hivyo. Wakiwa ndani ya vibanda hivyo huwezi kuswali ndani yake. Vipi utaswali na wao wako ndani humo? Ni makatazo yenye kuenea, sawa wakiwemo ndani au wasiwemo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (43) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2019%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020