Swali: Kwetu kuna baadhi ya Suufiyyah wanaosema kuwa maiti waliyomo ndani ya makaburi wanasikia du´aa na wanatumia dalili kwa hili kwamba inajuzu kuwaomba na kufanya Tawassul kupitia kwao…

Jibu: Lakini Allaah anasema:

إِن تَدْعُوهُمْ لَا يَسْمَعُوا دُعَاءَكُمْ وَلَوْ سَمِعُوا مَا اسْتَجَابُوا لَكُمْ

“Mkiwaomba hawasikii maombi yenu, na hata wakisikia, hawatakuitikieni.” (35:14)

Hawa wanasema kuwa wanasikia? Tumwamini nani? Allaah au hawa makhurafi?

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (43) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2019%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020