Swali: Unajua nini kuhusu Dahlaan ambaye ameandika kitabu ”ad-Durar as-Saniyyah fiyr-Radd ´alaal-Wahhaabiyyah”?

Jibu: Najua kuwa ni mpotevu; analingania katika upotevu na anatetea upotevu.

Bwana huyu alikuwa ni Qaadhiy huko Makkah. Kuna muhindi mmoja ametunga kitabu kwa jina “Swiyaanat-ul-Insaan ´an Waswasat-ish-Shaykh Dahlaan”. Jambo lake liko wazi. Anazingatiwa ni mwenye kufuata kichwa mchunga na anaita katika kufuata kichwa mchunga.

  • Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=2314
  • Imechapishwa: 25/01/2020