Swali: Je, Daawuud alikuwa Mtume kwa kuwa aliteremshiwa Zabuur?
Jibu: Daawuud ni mfalme na Nabii. Allaah alimkusanyia kuwa na ufalme na utume. Sio kama anazingatiwa kuwa ni katika Mitume, ni Nabii na mfalme.
Zabuur sio kitabu cha hukumu. Ni kitabu cha du´aa. Sio hukumu. Daawuud anahukumu kwa Tawraat iliyokuja na Muusa (´alayhis-Salaam).
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (16) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-03-07.mp3
- Imechapishwa: 14/11/2014
Swali: Je, Daawuud alikuwa Mtume kwa kuwa aliteremshiwa Zabuur?
Jibu: Daawuud ni mfalme na Nabii. Allaah alimkusanyia kuwa na ufalme na utume. Sio kama anazingatiwa kuwa ni katika Mitume, ni Nabii na mfalme.
Zabuur sio kitabu cha hukumu. Ni kitabu cha du´aa. Sio hukumu. Daawuud anahukumu kwa Tawraat iliyokuja na Muusa (´alayhis-Salaam).
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (16) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-03-07.mp3
Imechapishwa: 14/11/2014
https://firqatunnajia.com/daawuud-alikuwa-ni-mtume/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)