Swali: Kubusu kunazingatiwa ni uzinzi?

Jibu: Ni uzinzi mdogo. Ni miongoni mwa njia zinazopelekea katika uzinzi. Ni katika madhambi madogo.

Swali: Je, mtu anatakiwa kuaziriwa?

Jibu: Ni miongoni mwa njia zinazopelekea katika uzinzi. Isipokuwa ikiwa mtu atatubu kutokana na maasi. Inaingia katika maneno Yake (Ta´ala):

إِنَّ اللَّـهَ لَا يَغْفِرُ أَن يُشْرَكَ بِهِ وَيَغْفِرُ مَا دُونَ ذَٰلِكَ لِمَن يَشَاءُ

“Hakikaha hasamehi kushirikishwa na anasamehe yaliyo chini ya hayo kwa Amtakae.”[1]

Inaingia katika madhambi. Kubusu, kupapasa na maneno mabaya.

[1] 04:48

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23356/هل-تعتبر-القبلة-المحرمة-من-الزنا
  • Imechapishwa: 03/01/2024