Swali: Bora ni kutawadha nyumbani?
Jibu: Ndio bora. Kujitwahirisha nyumbani, akajitayarisha, akavaa mavazi yake mazuri kabisa na akajitia manukato, ndio bora zaidi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22601/هل-الوضوء-في-البيت-افضل-من-غيره
- Imechapishwa: 08/07/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)