Bora kwa asiyekhofu maradhi asiweke sharti katika hajj

Swali: Ambaye hana khofu ya maradhi asiweke sharti?

Jibu: Bora zaidi ni kutoweka sharti, kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakuweka sharti.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24948/هل-يشترط-من-لا-يخاف-مرضا-في-الحج
  • Imechapishwa: 10/01/2025