Ameingia kwenye Ihraam katika mji wake na kufanya yaliyokatazwa kabla ya kufika kwenye kituo

Swali: Ameingia ndani ya Ihraam kutoka kwenye mji wake kisha akafanya moja ya mambo yaliyokatazwa katika Ihraam. Je, analazimika kutoa fidia?

Jibu: Ndio, anatakiwa kutoa fidia ikiwa alifanya makusudi. Lakini ikiwa alisahau, basi hakuna kinachomlazimu.

Swali: Je, hata kama ilikuwa kabla ya kufika kwenye kituo?

Jibu: Hata kama ilikuwa kabla ya kufika kwenye kituo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24945/حكم-من-احرم-ببلده-واتى-محظورا-قبل-الميقات
  • Imechapishwa: 10/01/2025