Kuweka sharti katika I´tikaaf

Swali: Wanazuoni wanajengea hoja kwa kutumia Hadiyth hii:

“Hakika unayo haki kwa Mola wako kwa kile ulichotoa sharti wakati wa kuanzisha I´tikaaf.”

 Je, jambo hili linafaa?”

Jibu: Kanuni ni kwamba ´ibaadah ni kwa mujibu wa Qur-aan na Sunnah.

I´tikaaf si jambo la lazima. Ikiwa mtu atatoka kwenye I´tikaaf, hilo si jambo baya, kwani I´tikaaf ni ´ibaadah ya kujitolea na yenye kupendeza. Ikiwa ataamua kuisimamisha, hapana dhambi kwake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24949/هل-يجوز-الاشتراط-في-الاعتكاف
  • Imechapishwa: 10/01/2025