Swali: Je, tunaweza kusema kwamba wale wanaomtetea Abul-Hasan [al-Ma´ribiy], al-Maghraawiy na ´Adnaan Ar´uur ni Hizbiyyuun?
Jibu: Ndio. Bila ya shaka kwamba ni Hizbiyyuun. Pasina kujali hata kama watajifanya wanatahadharisha Hizbiyyah. Ni Hizbiyyah wa khatari sana.
- Muhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Lubaab, uk. 279
- Imechapishwa: 20/07/2020
Swali: Je, tunaweza kusema kwamba wale wanaomtetea Abul-Hasan [al-Ma´ribiy], al-Maghraawiy na ´Adnaan Ar´uur ni Hizbiyyuun?
Jibu: Ndio. Bila ya shaka kwamba ni Hizbiyyuun. Pasina kujali hata kama watajifanya wanatahadharisha Hizbiyyah. Ni Hizbiyyah wa khatari sana.
Muhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Lubaab, uk. 279
Imechapishwa: 20/07/2020
https://firqatunnajia.com/bila-ya-shaka-hawa-ni-hizbiyyuun/