Swali: Balbu na taa mbele ya wenye kuswali?

Jibu: Tahadhari zaidi ni ikiwepesika zikawa upande wao wa kulia, kushoto au kwa nyuma yao. Lakini haja ikipelekea kufanya hivo basi machukizo yanaondoka wakati kunapokuwa na haja.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23625/ما-حكم-جعل-اللمبات-امام-المصلين
  • Imechapishwa: 01/03/2024