Baba kuwapa swadaqah wake wa watoto wake

Swali: Mtu anawapa swadaqah wake za watoto wake.

Jibu: Ndio, wakiwa wake hao ni mafukara na watoto wake ni mafukara.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24486/هل-تستحب-الصدقة-على-زوجات-اولاده
  • Imechapishwa: 18/10/2024