Baba kuchukua mahari ya binti yake

Swali: Je, inajuzu kwa baba kuchukua mahari ya msichana wake bila ya ridhaa yake?

Jibu: Akihitajia hili – na hili ni maalum kwake – achukue mahari ya msichana wake kiasi ambacho hakitomdhuru na asichohitajia. Achukue kile cha juu kilichozidi katika haja yake maadamu hamdhuru.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqo-01-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 03/05/2015