Baba hataki aolewe na mwanamme mwenye msimamo

Swali: Kuna muulizaji mwanamke kutoka Ufaransa anauliza na kusema kuwa baba yake anamkatalia kuolewa na mtu fulani kwa kuwa ana msimamo…

Jibu: Je, baba yake ni muislamu au sio muislamu? Ikiwa sio muislamu hana juu yake utawala. Ikiwa ni muislamu ni wajibu kwake kumuozesha na mchumba ambaye amemridhia. Hili ni wajibu kwake. Akikataa, basi utawala wake unaanguka na [mwanamke huyo] aende katika kituo cha Kiislamu kilicho karibu na yeye. Wao ndio watasimamie suala hili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fth-mjd-17051435.mp3
  • Imechapishwa: 20/09/2020