Swali: Ipi nasaha zako kwa anayeoa kwa wale wasiyo katika jamii yake ambapo anaishi, mwanamke kutoka magharibi kwa mfano?
Jibu: Ndugu yetu anatakiwa kuoa mwanamke muislamu, mwema, mtiifu, mwenye msimamo, atakayekusaidia katika mambo ya dini yako.
- Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Waswaabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.olamayemen.net/Default_ar.aspx?ID=567
- Imechapishwa: 22/09/2020
Swali: Ipi nasaha zako kwa anayeoa kwa wale wasiyo katika jamii yake ambapo anaishi, mwanamke kutoka magharibi kwa mfano?
Jibu: Ndugu yetu anatakiwa kuoa mwanamke muislamu, mwema, mtiifu, mwenye msimamo, atakayekusaidia katika mambo ya dini yako.
Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Waswaabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.olamayemen.net/Default_ar.aspx?ID=567
Imechapishwa: 22/09/2020
https://firqatunnajia.com/baadhi-ya-sifa-zinazopasa-kuwa-na-mke-mtarajiwa/